Alhamisi, 15 Februari 2018

#VPL MSIMAMO: Kila timu ikiwa imecheza mechi 18, hivi ndivyo msimamo wa ligi unavyoonekana. Mwadui baada ya sare ya leo dhidi ya Simba, imesogea kutoka nafasi ya 12 hadi ya 10, huku Simba na Yanga 'gap' likipungua kati yao.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni