mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 19 Februari 2018
#VPL MSIMAMO: Baada ya mechi sita za raundi ya 19, msimamo wa ligi unaonesha Tanzania Prisons imepanda hadi nafasi ya tano ikiishusha Mtibwa Sugar hadi nafasi ya sita, huku Ruvu Shooting 'Wazee wa kupapasa' wakizidi kuchanja mbunga hadi nafasi ya saba. Michezo iliyosalia kukamilisha raundi hii ni:- Simba vs Mbao, Ndanda vs Yanga.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni