Jumatatu, 19 Februari 2018

#VPL Mpira umekwisha mechi mbili za leo ambapo Mtibwa Sugar imeangukia pua kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Ruvu Shooting katika dimba la Manungu wakati Tanzania Prisons ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni