Jumatatu, 26 Februari 2018

Vifaa vya Walemavu kutoka serikali ya Kuwait vyapokelewa na Makamu wa Rais


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Vifaa mbalimbali vya Walemavu vilivyotolewa na Serikali ya Kuwait vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jasem Al Najem .



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni