Mashujaa waliyo ifundisha Mbao FC somo la soka hii loe ni Shiza Ramadhani Kichuya huku Mshambuliaji wake rai wa Uganda, Emmanuel Okwi akitakata uwanjani baada ya kutupia mawili yanayomfanya kutimiza idadi ya magoli 16 katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 26 Februari 2018
MNYAMA ATAFUNA MBAO TANO UWANJA WA TAIFA
Wekundu wa msimbazi Simba SC hii leo wameweza kuifunga timu ya Mbao
FC kwa jumla ya mabao 5 – 0 bila huruma mchezo wa ligi kuu soka
Tanzania Bara uliyopigwa uwanja wa Taifa.

Mashujaa waliyo ifundisha Mbao FC somo la soka hii loe ni Shiza Ramadhani Kichuya huku Mshambuliaji wake rai wa Uganda, Emmanuel Okwi akitakata uwanjani baada ya kutupia mawili yanayomfanya kutimiza idadi ya magoli 16 katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu.
Mashujaa waliyo ifundisha Mbao FC somo la soka hii loe ni Shiza Ramadhani Kichuya huku Mshambuliaji wake rai wa Uganda, Emmanuel Okwi akitakata uwanjani baada ya kutupia mawili yanayomfanya kutimiza idadi ya magoli 16 katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni