Mashabiki wa PAOK Salonika waliendelea kupambana na Polisi nje ya Uwanja hadi saa mbili zaidi baada ya mechi kuvunjika.
Olympiacos inatarajiwa kuzawadiwa ushindi wa mezani wa 3-0, huku PAOK ikikabiliwa na adhabu ya kutozwa fainali ya hadi Pauni 79,000 na inaweza kuamriwa kucheza bila mashabiki.
Adhabu hiyo itairudisha nyuma PAOK katika mbio za ubingwa, ikipunguza idadi ya pointi wanazowazidi Olympiacos waliopo nafasi ya tatu na sasa timu zote zitabaki na pointi 49.
Pamoja na hayo, Olympiacos inakabiliwa na adhabu ya kupokwa pointi baada ya vurugu walizofanya katika mechi dhidi ya AEK Februari 4

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni