Alhamisi, 22 Februari 2018

Kutoka Chuo cha NIT Ibada ya kuuaga Mwili wa AKWILINA












Leo February 22, 2018 katika Chuo cha NIT unaagwa Mwili wa Akwilini Akwilini Bafta Shirima ambaye alipigwa risasi akiwa katika daladala na risasi inayosemekana amepigwa na Polisi wakati wakitawanya waandamanaji wa CHADEMA February 16, 2018. Nimekuwekea picha kutoka NIT katika ibada ya kuaga.









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni