Jumapili, 25 Februari 2018

#ASFC Emmanuel Martin anawaandikia Yanga goli la pili akiunganisha krosi nzuri ya Hassan Kesi kwa kichwa hadi wavuni katika dakika ya 57. Dakika 60' - Majimaji 0-2 Yanga

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni