Yanga SC ikitolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi na timu ya URA ya Uganda kwa njia ya mikwaju ya penati 5-4.
Katika mikwaju hiyo Mzambia, Obrey Chirwa alikosa bao nahivyo kuifanya URA kosanga mbele ambapo sasa atacheza mchezo wa fainali na Azam FC tarehe 13 siku ya Jumamosi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni