Ijumaa, 26 Januari 2018

utani wa manara kwa chirwa



 miaka mingi imekuwa kawaida kwa vilabu vya Simba na Yanga viongozi wake au mashabiki wake kutania, hii inatokana na vilabu hivyo kuitana ni watani wa jadi ambao umeanza katika upinzania wao katika soka.
Afisa habari wa Simba Haji Manara ni mmoja kati ya watu wanaopenda kuandika maneno ya utani mtandao na kwenda kwa wapinzani na watani zao Yanga, Haji Manara leo ameamua kumtania staa wa Yanga raia wa Zambia Obrey Chirwa kwa kupost picha ya Chirwa na kuandika maneno ya utani.
“Kama kuna mchezaji ananiacha hoi na swaga zake basi ni @obreychirwa ..kaacha matikiti sasa hv anaweka umeme,sasa hapo sijui ndio Gongowazi walipompangia,nahisi hapo Tandale kwa kinyevule๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚”>>> Haji Manara

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni