Ijumaa, 26 Januari 2018

tazama mjengo atakayokuwa anaishi Sanchez jijini Manchester huu hapa

Staa wa zamani wa Arsenal aliyejiunga na Man United katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili Alex Sanchez, zimeoneshwa picha za nyumba atakayokuwa anaishi jijini Manchester katika kipindi akiitumikia Man United.
Nyumba atakayokuwa anaishi Sanchez ina thamani ya pound milioni 2 na yupo jirani na mchezaji mwenzake wa Man City na timu ya taifa ya Chile Claudio Bravo, Sanchez kwa sasa ndio mchezaji anayelipwa pesa nyingi EPL, mshahara wake ni pound 350000 kwa wiki.















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni