Ijumaa, 26 Januari 2018

TRL inapoteza zaidi ya Mil.200 kwa siku kutokana na treni kutofanya kazi.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Atashasta Nditiye akiongozana na Mkurugenzi wa TRL, Masanja Kadogosa amefanya ziara katika maeneo ambayo miundombinu ya reli imeharibika la Munisigala mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa TRL, Masanja Kadogosa amezungumzia hasara inayopatikana kutokana na uharibifu wa miundombinu hiyo na kusema shirika hilo linapata hasara ya Milioni 150 hadi 200 kwa siku kwa sababu ya kusitishwa kwa usafiri wa reli hiyo.
WAZIRI MWIGULU ASIMAMISHA ZOEZI LA UTOAJI WA HATI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni