Ijumaa, 26 Januari 2018

reaking News: Tido Mhando afikishwa kizimbani Leo



 ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Tido Mhando amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni