Jumamosi, 27 Januari 2018

Saa chache kabla ya Azam FC vs Yanga, TFF imefanya mabadiliko haya

Image result for mpira images


Bado saa chache kabla ya mchezo wa Azam FC dhidi ya Yanga uchezwe katika uwanja wa Azam Complex Mbanda Chamazi lakini kabla ya kuanza kwa mchezo huo shirikisho la soka Tanzania TFF limetangaza mabadiliko madogo katika upande wa muamuzi msaidizi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni