Alhamisi, 25 Januari 2018

RIP: Muigizaji wa Katuni ya ‘Teletubbies’ amefariki akiwa na miaka 52



Moja ya stori ambayo nimeipata leo ni kumhusu Muigizaji wa tamthilia za watoto maarufu ya Teletubbies aliyekuwa akijulikana kama Tinky Winky kwa wapenda Katuni wengi wanamfahamu kwa jina hilo, ila jina lake halisi Simon Shelton Barnes amefariki dunia akiwa na miaka 52 baada ya kuzimia kutokana na tatizo la ‘hypothermia’ katika mitaa ya Liverpool,
Simon Shelton Barnes ameacha watoto watatu, alipitia mafunzo ya kucheza ‘ballet’ na ‘choreographer’ kabla ya kuanza kuigiza kama kikatuni cha zambarau (purple Teletubby ) ambaye alikuwa akibeba begi la kimaajabu ‘magic bag’ katika tamthilia hiyo iliyoanza tangu mwaka 1998 hadi 2001.

Rafiki yake aliyeigiza naye John Simmit aliyecheza kama Dipsy alitumia ukurasa wake wa twitter na kusema “Ninakumbuka nyakati nzuri tulizokuwa pamoja”.

Wengine walikuwa ni Nikky Smedley aliyekuwa kama Laa Laa, na 


 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni