Kwa hatua hiyo kwa sasa Sanchez atakuwa ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi katika ligi ya Uingereza. Mchezaji huyo atakuwa anapokea kiasi cha paundi 350,000, haki za matangazo atakuwa analipwa paundi 100,000 pamoja na nyongeza/ziada (bonus) ya paundi 140,000.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumanne, 23 Januari 2018
Picha: Sanchez na jezi ya Man United, Mkhitaryan na Arsenal
Hakuna ubishi katika dirisha hili dogo la usajili barani Ulaya,
usajili wa Alexis Sanchez na Henrikh Mkhitaryan ndio umeteka sana vichwa
vya habari. Hatimaye hapo jana klabu ya Manchester United na Arsenal
walimaliza tetesi hizo kwa kila timu kumtambulisha mchezaji wake ambao
walifanya mabadilishano.

Kwa hatua hiyo kwa sasa Sanchez atakuwa ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi katika ligi ya Uingereza. Mchezaji huyo atakuwa anapokea kiasi cha paundi 350,000, haki za matangazo atakuwa analipwa paundi 100,000 pamoja na nyongeza/ziada (bonus) ya paundi 140,000.

Kwa hatua hiyo kwa sasa Sanchez atakuwa ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi katika ligi ya Uingereza. Mchezaji huyo atakuwa anapokea kiasi cha paundi 350,000, haki za matangazo atakuwa analipwa paundi 100,000 pamoja na nyongeza/ziada (bonus) ya paundi 140,000.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni