atashika ya michuano ya mataifa Africa kwa wachezaji wanaocheza Ligi
za ndani (CHAN) kuendelea kupigwa leo Jumanne, kwa mechi mbili kupigwa
na zote utazishuhudia Kupitia #ZBC2
Rwanda, Libya na Nigeria wote wana nafasi ya kufuzu kwenda robo fainali
yeyote atakaepata ushindi leo anakwenda robo fainali, Je unadhani nani
na nani watafuzu?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni