Jumatano, 24 Januari 2018

Patashika ya michuano ya CHAN kuendelea kushika kasi nchini Morocco na leo mechi za Kundi D kupigwa.

Patashika ya michuano ya CHAN kuendelea kushika kasi nchini Morocco na leo mechi za Kundi D kupigwa.
Congo ameshafuzu kucheza robo fainali, Angola anahitaji pointi moja ili aweze kufuzu hatua ya robo fainali, Angola wameapa kwenda robo fainali na Congo wameapa kulinda heshima.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni