Jumanne, 9 Januari 2018

Nyumba aliyoishi Nelson Mandela kwa miaka zaidi ya 40




Ni nyumba namba 8115 kwenye Mtaa wa Vilakazi Orlando West kwenye Jiji la Johannesburg ndiko utapoikuta nyumba aliyowahi kuishi Kiongozi maarufu wa Afrika Kusini Nelson Mandela ambayo sasa imegeuzwa kuwa Makumbusho.
Mzee Nelson Mandela aliishi hapa kwa zaidi ya miaka 40 yeye na Familia yake ambapo ndani ya nyumba hii kuna kitanda alichokua akikitumia pamoja na kumbukumbu nyingine nyingi zinazomuhusu.


Wageni wakiwa eneo la nyuma ya nyumba hiyo
Mtaani, unaoonekana kulia ni uzio unaozunguka nyumba hii
Nje ya nyumba hiyo ya Makumbusho… mbele kushoto ndipo watu wanapoingilia




Baadhi ya vitu unavyoweza kununua kwenye nyumba hii ya Makumbusho

 
 chanzo

Millard Ayo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni