Ijumaa, 19 Januari 2018

MSIMAMO: Baada ya raundi ya 13 kukamilika kwa ushindi mnono wa 4-0 kwa Simba dhidi ya Singida United huku Azam FC wakilazimishwa sare ya bao 1-1 na Majimaji leo, Simba inaongeza 'gap' kileleni mwa msimamo wa #VPL.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni