mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Ijumaa, 19 Januari 2018
Kivumbi cha Ligi Kuu soka Tanzania bara leo,
dimba la Sokoine litakuwa katika wakati mgumu pale Mbeya City 'Wanakomukumwanya.' watakapokipiga na Lipuli FC ' Wanapaluhengo'.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni