Jumanne, 9 Januari 2018

Moto mkubwa uliozuka baada ya kutoboka kwa bomba la gesi maeneo ya Kwa Mnyamani, Vingunguti jijini Dar es Salaam umedhibitiwa na sasa hali ni shwari ingawa moto huo umeiunguza nyumba moja.

Image may contain: one or more people, night, fire and outdoor

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni