Ijumaa, 26 Januari 2018

MOTO HOSPITALINI:



Watu takribani 39 wamepoteza maisha na zaidi ya 70 kujeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea kwenye moja ya hospitali huko Korea Kusini.
Moto huo unadaiwa kuanzia katika chumba cha dharura katika hospitali hiyo ya Sejong, kusini mashariki mwa mji wa Miryang.
Inadaiwa kuwa katika hospitali hiyo takribani wagonjwa 200 walikuwemo ndani ya jengo hilo pamoja na wale wanaotoka majumbani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni