Mkuu wa Mkoa, Chanda Kasolo, ameiambia BBC kuwa mara baada ya kunywa dawa hizo, watu hao walianza kutapika kitu ambacho kilisababishwa na mchanganyiko wa chakula, pombe na dawa hizo za asili.
''Baada ya majibu ya vipimo kupatikana , imeonekana kuwa mchanganyiko wa pombe, vyakula na dawa hiyo, ulisababisha mchafuko wa mfumo wa chakula na hivyo kuhusishwa na kipindupindu lakini baada ya kuulizwa maswali, baadaye walikiri kuwa walikunywa dawa ya kuongeza nguvu ,'' alisema Kasolo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni