mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 13 Januari 2018
#MapinduziCup2018 Dakika 90 zimekwisha bila ya goli, na sasa FAINALI itaamuliwa kwa mikwaju ya penati. Bahati ni ya nani, URA au Azam FC?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni