Jumamosi, 13 Januari 2018

#MapinduziCup2018 AZAM FC wanafanikiwa kuchukua Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuwafunga URA kwa mikwaju ya penati 4-3. Kipa wa Azam Razak Abalora 'Mikono 100' amecheza mikwaju miwili ya URA.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni