![]() |
| Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Anastazia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala. |
SIMANZI na majonzi vimetawala wakati wa misa ya kumuombea marehemu
Anastazia Mayunga ambaye ni Mama wa Mkurugenzi wa Sheria na Katiba wa
CHADEMA, Wakili Peter Kibatala,katika Parokia ya SUA, Mjini Morogoro leo
Januari 13, 2017.
![]() |
Viongozi mbalimbali wa Chadema, ndugu jamaa na marafiki wameungana na
Kibatala katika kumuaga mama yake aliyefariki dunia juzi Alhamisi,
Januari 11.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni