mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 20 Januari 2018
Maagizo ya kamati ya Bunge baada ya kukuta jeshi la Polisi linadaiwa Bilioni 1.2 bili za maji
amati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Nagu leo January 20, 2018 imefanya ziara katika Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA).
Katika ziara hiyo Mary Nagu ameagiza Taasisi za Serikali kulipa deni la zaidi ya Tsh Bilioni 1.4 zinazodaiwa kwa kutolipa bili za maji huku akieleza kuwa Jeshi la Polisi linadaiwa Tsh Bilioni 1.2.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni