Alhamisi, 11 Januari 2018

Kamati iliyoundwa kuchunguza uhalali wa kampuni ya Airtel yatua kwa Rais Magufuli




 

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango leo, amewasilisha taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
 Soma taarifa kamili;

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni