Alexis Sanchez akiwa amewavisha jezi ya Man United mbwa wake Atom na Humber
Sanchez ametua rasmi Old Trafford siku ya Jumatatu katika dili ambalo linamfanya kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi katika ligi ya Uingereza.
Mchezaji huyo ameonekana kumvisha jezi familia yake na mbwa wake Atom na Humber huku nyuma zikiwa zimeandikwa jina lake.
Atom (kushoto) na Humber (kulia) wakipelekwa ndani ya Lowry Hotel ambapo Sanchez ndipo alipofikia
Mama mzazi wa Sanchez akiungana na mwanae Lowry Hotel.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni