Jumapili, 31 Desemba 2017

#VPL Mpira umekwisha katika dimba la Saba saba Njombe ambapo wageni Singida United wameondoka na ushindi mnono wa magoli 3 dhidi ya 1 la wenyeji Njombe Mji.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni