Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Bw. Omary Rashid Nundu amekanusha kuwa
kampuni ya TTCL haiimiliki kampuni ya Airtel bali inamilikiwa na mbia
pamoja na serikali. tofauti na taarifa ilivyozagaa kuwa wao wanamiliki
asilimia 40 kwaniaba ya serikali.mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Alhamisi, 21 Desemba 2017
Ukweli kuhusu umiliki wa TTCL kwa Airtel na Mtu asiyejulikana
Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Bw. Omary Rashid Nundu amekanusha kuwa
kampuni ya TTCL haiimiliki kampuni ya Airtel bali inamilikiwa na mbia
pamoja na serikali. tofauti na taarifa ilivyozagaa kuwa wao wanamiliki
asilimia 40 kwaniaba ya serikali.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni