mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 9 Desemba 2017
TMA yatoa tahadhari ‘Kuna mvua kubwa inakuja
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa kuwepo kwa
vipindi vifupi vya mvua kubwa ndani ya masaa 24 kwa baadhi ya maeneo ya
mikoa ya Dar es saalam, Pwani, Tanga na visiwa vya Unguja na Pemba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni