
"Hili ni shambulio baya zaidi kwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa katika historia ya karibuni, nalaani shambulio hili kwa kila hali, na mashambulio haya dhidi ya walinda amani wa Umoja hayakubaliki na ynaweza kuwa uhalifu wa kivita."
Ametuma rambirambi kwa serikali ya Tanzania na familia za waliouawa na kuwatakia majeruhi ahueni ya haraka akiongeza kwamba mashambulio kama haya yanadhihirisha umuhimu wa kumaliza migogoro na kudumisha amani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni