Ijumaa, 29 Desemba 2017

MSIMAMO WA LIGI: Baada ya mechi moja ya leo ambayo Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stand United, huu ndiyo msimamo wa #VPL ukionesha Azam kukaa kileleni, ikisubiri mechi nyingine za raundi ya 12 zitakazoendelea kuanzia kesho hadi Jumatatu.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni