
Mpira umemalizika: #CECAFA2017
Mabao mawili ya Saddam Juma yanaipa Uganda ushindi wa tatu wa michuano ya mwaka huu baada ya kuvuliwa ubingwa na Zanzibar.
FT: Burundi 1-2 Uganda.
Mchezo unaofuata LIVE kupitia Azam Sports 2 ni FAINALI: Kenya vs Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni