Picha
zikionyesha baadhi ya matukio muhimu kwa mwaka 2017. Uganda ziara ya
Katibu Mkuu Antonio Guterres, huko DRC walinda amani walikumbwa na janga
kubwa. Kusaka maisha bora kwazamisha maelfu Mediteranea na huko Sudan
Kusini licha ya mizozo, vijana wapatiwa fursa ya elimu. (Picha:UN)
Mwaka 2017 umefikia ukingoni! Kwa Umoja wa Mataifa mwaka huu ulianza
na uongozi mpya wa Katibu Mkuu Antonio Guterres akiwa amepokea kijiti
na kusema bayana kuwa hali si shwari. Na bila shaka hali ilikuwa hivyo
mizozo kila kona na majanga ya asili nayo yakishika kasi. Umoja wa
Mataifa ulikabiliwa na changamoto katika masuala ya amani, ulinzi na
kibinadamu. Tunatumia fursa hii kuangazia mwaka huu unaomalizika wakati
tukisubiri kwa hamu mwaka 2018. Wenyeji wako kwenye Jarida hili maalum
ni Leah Mushi na Joseph Msami.mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni