Ameeleza kuwa alianza kujichora tattoo hizo akiwa na umri wa miaka 49 wiki moja baada ya mama yake mzazi kufariki na tangu hapo hajawahi tena kuacha wala kuridhika na wingi wa tattoo hizo zilizo mwilini mwake.
Ameongezea pia kuwa hadi sasa ametumia zaidi ya Euro 15, 000 (Takriban Tsh 40 milioni) kama gharama ya kuchora tattoo hizo.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni