Super staa wa Hip hop Afrika Kusini Cassper Nyovest ambae amekuwa akifanya vizuri nchini humo na pia kulitambulisha vyema bara la Afrika kimataifa kutokana na kufanya muziki mzuri.
Cassper Nyovest amevunja rekodi baada ya kushinda tuzo tano kwa mpigo kama mwana Hip Hop bora wa mwaka 2017 kutokea Afrika Kusini na amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa instagram
PICHA YA FAMILIA, tumechukua tuzo tano hadi sasa natumaini tutashinda nyingine kama kwenye wimbo bora wa mwaka!! Nawashukuru wote kwa ushirikiano, tutaonana kwenye sherehe nisiposhinda ila tukishinda nitarudi!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni