
Mawaziri 11 miongoni mwao wakikwa
wana wa ufalme wameachichwa kazi na hata kuzuiliwa katika Mabadiliko
makubwa yaliyotangazwa kwenye serikali ya Saudia.
Wengine wanaozuiliwa ni mawaziri wa zamani ambao wamehusishwa na kashfa za rushwa.
Miongoni mwa wanazuiliwa ni wana wa wafalme mmojawao ni mtoto wa marehemu mfalme Abdullah Prince Miteb aliyekuwa mkuu wa kitengo cha kikosi cha kiusalama National guard ambapo sasa amepokonywa wadhfa huo.

Mwengine ni billionaire Prince Al-Waleed bin Talal.
Inaripotiwa kwamba hisa katika kampuni aliyoekeza huko uingereza iitwayo Kingdom Holding, zimeporomoka kutokana na hisia hizo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni