Shika amejichukulia umaarufu kwenye siku hizi mbili baada ya kujitokeza kwenye mnada wa nyumba za LUGUMI na kujinadi kitajiri kununua nyumba zenye thamani ya BILIONI 2 kumbe mfukoni hana kitu.
Baada ya kukamatwa na kupelekwa Polisi kwa kosa la kuvuruga mnada, Kamanda Mambosasa wa Kanda Maalum ya Kipolisi Dar es salaam amesema “Alipohojiwa ni mtu ambae kwakweli ni wa kumuonea huruma tu hana chochote, lakini Mamluki ambae kwa taarifa za mbali inawezekana aliandaliwa na mwenye nyumba hizo ili wakati wanaendelea kujipanga avuruge mnada“
Kamanda Mambosasa ameongea kwa dakika 7 kuhusu tu huyu Dr. Shika, je atapelekwa Mahakamani? kosa lake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni