Jumamosi, 11 Novemba 2017

Kitu Rais Magufuli amewaambia Watanzania wanaoishi Uganda



Niwaombe nyinyi elfu 45 mlioko huku muwashawishi Watanzania wengine walioko Tanzania na nchi nyingine waje waanzishe viwanda angalau tuanze tu kwa viwanda vya madawa kwasababu madawa yote yananunuliwa na Serikali”
“Juzi tulikua pale Mwanza tumefanikiwa kuzindua kiwanda kimoja mtu alikua na ka-Pharmacy kake ameanzisha kiwanda, kwenye mwaka mmoja tu ameshalipwa BILIONI 22 na anasema tangu aanze hajawahi kupata faida ya aina hiyo” – JPM

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni