Klabu ya Simba imepata ushindi mwembamba wa goli 1-0 ugenini dhidi ya Tanzania Prisons kunako dimba la Sokoine pale jijini Mbeya.
Goli la Simba limefungwa na John Bocco kunako dakika ya 84 na kuifanya klabu hiyo kujikita kileleni kwa alama 22 kwenye msimamo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni