Msemaji wa Klabu ya Soka ya Simba Haji Manara, amesema anampango wa kugombea urais na anaamini atafanikiwa.
“Unajua mi nakwenda kuwa rais wa nchi siku moja, mimi nakwambia Mungu akinipa uhai na majaliwa, nakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”, amesema Haji Manara.
Msikilize hapa chini na akitaja watu gani hatawaweka kwenye baraza lake la mawa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni