MUNGU ni mwema siku zote. Mchungaji wa kanisa la Christ Mercyland, Prophet Fufeyin amewashangaza maelfu ya watu nchini Nigeria baada ya kumuombea kijana mwenye matatizo ya kudumu ya nguvu za kiume.
ophet Fufeyin akishusha upako kwa kijana huyo mwenye matatizo ya nguvu za kiume.
Kijana huyo aliyetambulika kwa jina moja la Osihen mwenye miaka 26 alizaliwa akiwa na tatizo hilo la uhanisi, lakini maajabu ya Mungu yalimbadilisha baada ya kuombewa mbele ya waumini na kuanza kuamsha dude hadharani.
Prophet Fufeyin ni maarufu sana nchini Nigeria Nigeria kutokana na maajabu anayoyafanya kwa watu wenye matatizo kwani mwezi uliopita alimuombea mama mwenye uzito wa kilo 198 na kupungua hadi kilo 100 mbele ya waumini wake.
Tukio la kijana huyo limetokea jumapili ya tarehe 8 Oktoba mwaka huu kwenye ibada ya kanisa hilo.Tazama video hiyo kijana akipokea upako kutoka kwa mchungaji (Video by Tunde)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni