Jumapili, 22 Oktoba 2017

MSIMAMO WA LIGI: Baada ya kila timu kucheza mechi saba, huu ndiyo msimamo wa #VPL ambapo Yanga imeipiku Mtibwa na kupanda hadi nafasi ya pili baada ya ushindi wake wa leo wa mabao 4-0 dhidi ya Stand United ambayo imeshuka chini kwa nafasi moja.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni