Jumapili, 27 Agosti 2017

Pambano la Mayweather na McGregor



 eo ndio leo ukweli utabainika kuwa nani mkali kati ya Mayweather na McGregor, Hili sio pambano la kukosa Muungwana Blog Tumekuwekea muda wa pambano, Kwa Tanzania itakuwa ni saa 12 alfajiri..

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni