mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Alhamisi, 13 Julai 2017
Shabiki aingia katikati ya uwanja kumkumbatia Wayne Rooney
Shabiki mmoja ashindwa kuvumilia na kuamua kuingia kiwanjani kwenda kumsalimia Wayne Rooney.
Mshabiki huyo ambaye alivalia jezi ya Man United aliingia uwanjani na
kufanikiwa kumkumbatia mchezaji huyo wa Everton kabala ya kutolewa na
askari.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni