Jumatano, 12 Julai 2017

James Kotei asaini Simba mwaka mmoja



Image result for kotei imagesKiungo James Kotei amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea tena Simba.

Awali Kotei raia wa Ghana alikuwa na mkataba wa miezi sita tu Simba ilipomsaini kutoka Oman.

Lakini umuhimu wake, wameona waongeze mkataba wa mwaka mmoja wa mchezaji huyo kiraka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni