Jumapili, 11 Juni 2017

TPA yasaini mkataba utakaowezesha bandari ya Dar kupokea meli kubwa


 
Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), imesaini mkataba wa upanuzi na uongezaji wa kina cha bandari utakaowezesha bandari ya Dar es Salaam kupokea meli kubwa za mizigo na kushindana na bandari nyingine katika pwani ya bahari ya Hindi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni